Hii ni 'pure class'...

muuza ubuyu asante sana mkuu kwa kunikumbuka hapa
Let it go hiyo ni slogan kwa wana MMU wote
 
Last edited by a moderator:
Imekaa poa The Boss....
Sio kuichukia nguo ilichakaa na kusahau ilikupendezesha kabla!!!
Ila kuna matimbili mengine ni balaa....hata muda wa kukumbuka wema unakua haupo! Best friend anakua adui mkubwa! Ni kama woga wa kuwa na adui anayefahamu udhaifu wako.
 
Last edited by a moderator:

amen.... i do this way japo naonekana kama katili fulani hivi... though am enjoying life
 
Huu mbona mwaka wetu...tutakoma.
Shurti vijiba vya roho vitatuiva na kupasuka....hapana chezea mahabaaa!

Nilitaka kushangaa kama hii thread ingeisha bila lara 1 hajachafua hali ya hewa na mapenzi nipeleke jela kama Frola & Mbasha.
Mtakoma ambao hamjawahi kuwa kwenye mahusiano tangu mzaliwe
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kushangaa kama hii thread ingeisha bila lara 1 hajachafua hali ya hewa na mapenzi nipeleke jela kama Frola & Mbasha.
Mtakoma ambao hamjawahi kuwa kwenye mahusiano tangu mzaliwe
Hahaaaa! Acheni majungu toeni shukrani zenu baaaaas!
 
Asante kwa ujumbe mzuri tumezoea kulaumu na kulalamika hasa pale mambo yanapoenda kinyume na matarajioa yetu (ndoa)Asante kwa kunikumbusha.
 

asante snowhite kwa kuniita
ni kweli asemavyo The Boss
tujifunze kushukuru kwa yanayotupata
tusonge mbele na sio kulalamika!!
 
Last edited by a moderator:
mwallu pita soma huu uzi, msalimie mumeo Mentor
mie huyoooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kaka binamu The Boss, ujumbe na darasa tosha. Kushukuru kwa uhusiano unapoisha ama chochote inasaidia hata moyo, kuachia hasira na maumivu.
Unaanza upya, ahsante kwa somo hili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…