Labda sikumwelewa The Boss, nilichoelewa ni kwamba tunatakiwa tukumbuke mazuri ya waliopita na siyo kuzungumzia mabaya tu. tunatakiwa tusema Thank you kwa starehe tulizopata tulipokuwa nao kwani kwa kuwa nao tu kunadhihirisha kuna mazuri yalikuwepo.......
Don't worry babu, tumeshayamaliza
mmh not easy as you think..
Habari za siku nyingi yaani kidogo nivunje ufagio manaake nilivosikia sauti ikiita jina langu kwa msisitizo ikabidi nije nduki. Jamani wedi kapu hii imetuondoa wengine jamvini utafikiri tulikua tunacheza duh. Mungu akubarii mpendwaRoulette AshaDii sakapal Preta
HorsePower M'Jr (partner) Elli Smile Lisa neggirl Ablessed BADILI TABIA Mwali Mrembo by Nature and the list is endless
......
thenkyuni sana jamani
life here has never been the same without you!
2014 nilikuwa mwenyeji kabisaDah hii thread nimeitafutaje....
Mpaka nimesahau wale niliokuwa nataka kuwatag aisee...
Mkuu The Boss thank you for this. Nimeitumia sana hii kwenye ushauri nasihi.
It is another world cup year...this time sijui ni nani ataambiwa maneno haya!
Heaven Sent. Evelyn Salt, Heaven on Earth Daby Khantwe RRONDO ...enzi hizi mlikuwa mmeshajiunga JF kweli!???
Im proud kusema nilikuwepo na ID hii hii. Wengi waliochangia uzi huu enzi hizo wamebadili ID now, ingawa wengi wanaamini kuwa hawapo JF.Dah hii thread nimeitafutaje....
Mpaka nimesahau wale niliokuwa nataka kuwatag aisee...
Mkuu The Boss thank you for this. Nimeitumia sana hii kwenye ushauri nasihi.
It is another world cup year...this time sijui ni nani ataambiwa maneno haya!
Heaven Sent. Evelyn Salt, Heaven on Earth Daby Khantwe RRONDO ...enzi hizi mlikuwa mmeshajiunga JF kweli!???
Hivi inakuwaje upo tangu enzi hizo halafu sijakutongoza? Au nimesahau?!2014 nilikuwa mwenyeji kabisa
Hivi inakuwaje upo tangu enzi hizo halafu sijakutongoza? Au nimesahau?!
Aisee.....Mimi najua jibu hahahaha.,...
Hivi inakuwaje upo tangu enzi hizo halafu sijakutongoza? Au nimesahau?!
Hebu sema na mimi nilisikieMimi najua jibu hahahaha.,...
kipindi hiko sikuwahi kusoma kwa umakini hii thread,Dah hii thread nimeitafutaje....
Mpaka nimesahau wale niliokuwa nataka kuwatag aisee...
Mkuu The Boss thank you for this. Nimeitumia sana hii kwenye ushauri nasihi.
It is another world cup year...this time sijui ni nani ataambiwa maneno haya!
Heaven Sent. Evelyn Salt, Heaven on Earth Daby Khantwe RRONDO ...enzi hizi mlikuwa mmeshajiunga JF kweli!???
lol.Hivi inakuwaje upo tangu enzi hizo halafu sijakutongoza? Au nimesahau?!
Nilikuwepo, ila nilikuwa msomaji zaidi kipindi hichoDah hii thread nimeitafutaje....
Mpaka nimesahau wale niliokuwa nataka kuwatag aisee...
Mkuu The Boss thank you for this. Nimeitumia sana hii kwenye ushauri nasihi.
It is another world cup year...this time sijui ni nani ataambiwa maneno haya!
Heaven Sent. Evelyn Salt, Heaven on Earth Daby Khantwe RRONDO ...enzi hizi mlikuwa mmeshajiunga JF kweli!???
lol.
Ila mdogo wangu samtaim unaniachaga hoi.
You are a blend of The Boss and Nyani Ngabu.
Bad boys.