Hii ni 'pure class'...

Hii ni 'pure class'...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Ingawa inahusu world cup but inahusu hadi kwenye MMU .....Timu ya Spain ilikuwa ina mategemeo tele
kwa kila mshabiki wa timu hiyo....nina uhakika wapo walioweka pesa za kamari kwa timu hiyo..mamilioni .wapo waliosafiri kutoka Spain hadi Brazil...na kulanguliwa tiketi za dola 90 kwa kuuziwa dola 1000...na kadhalika...kilichotokea kila mtu anakijua...wamepigwa 5-1,halafu 2-0...out....na walifungwa kizembe pia..kipa wao Cassilas alisababisha magoli kadhaa
kocha nae akamng'ang'ania mechi ya pili na wachezaji wengine huku akiacha wachezaji tele bench wenye vipaji..sasa

Baada ya kufungwa na kutolewa kwa kipigo cha aibu nikawa najiuliza hasa mashabiki watakuwa na hasira kiasi gani kwa Cassilas na Kocha....na nini kitafuata.....je watawasulubu wachezaji na kocha? media zao zitasemaje?hasira zao zitatulizwa vipi?.......kilichotokea ndicho kilichonifurahisha....first mashabiki wamesikitika tu bila kutukana wala kulaumu sana..

Media za kwao ndo kabisa....wameweka picha za timu yao huku vichwa vya habari vikisema tu 'the end' wengine waliandika 'thank you' 'it was beautiful' na kadhalika...magazeti na mshabiki kwa ujumla yalikuwa yanatoa shukrani kwa wachezaji kwa 'mafanikio ya Spain toka mwaka 2008 walipokuwa mabingwa wa Ulaya,2010 mabingwa wa dunia,2012 tena mabingwa wa ulaya...mwandishi mmoja alisema 'it was the end of the six years party' thank you.. hakuna aliejishughulisha na what is...or what could have been na kadhalika...watu hasa media wametoa tu shukrani kwa ujumla kwa timu hii kwa kipindi chote walichowapa furaha ya ushindi... mpaka siku ile party ilipoisha...pure class

Tunaweza kujifunza....kitu hapo iwe mahusiano ya mtu na mtu au mtu na taasisi....siku yakiisha no matter how dissapointed you are...angalau shukuru for the' party before' ...kuliko ku spend muda mwingi kulaumu,kutukana kulalamika about the dissapointment.......ukifukuzwa kazi shukuru tu.sema thank you ..it was beautifull..sio kuwalaani watu waliokufanyia fitina milele hadi ukafukuzwa kazi...the same goes for broken hearts.. sometimes tukumbuke 'the party before' dissapointment na kusema thank you..it was beautifull.......and that is pure class...
 
Inahitaji moyo mkuu,maana hiyo ni kujifariji huku roho inauma.
 
Umefikiria nini Mkuu The Boss,

Yaani umeongelea jambo la maana sana. Mara nyingi sana tunajikuta tumefungwa kwenye kuangalia mabaya na kusahau mambo mengi mazuri tuliyofanyiwa na wenzetu.

Ndiyo maana Bibi huwa nampa sifa siku zote...She has been making me happy and no matter what, I will thank her for the party!
 
Last edited by a moderator:

mkuu unakuta mtu ndoa ya miaka kumi.but ama define mtu zaidi kwa mwaka mmoja wa mwisho...akiulizwa vipi kuhusu mkeo? uasikia tu aah yule kimeo nimemuacha....anasahau 'party aliyopewa na huyo kimeo for nine years'...
 
Haa haa....iliyoshindikana kivipi?
hupaswi kuondoka na dissapointment alone...kumbuka the party before,,thats all...
tazama waingereza walivyo abusive kwa wachezaji wao? inawasaidia?

Aisee tena usiseme kuhusu wa ingereza pumbav kabisa kutwa kucha wanascrutinize mchezaji hadi mchezaji..ujinva mtupu.. wanacheza mpira kwen media?

On the same vein ndo nilikuwa nataka niseme.mfano naeeza kusema thank you Morg the party was nice but its over now...
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaaaaaaaw! THANK YOU BABY WANGU, PIKO WA MOYO WANGU, MY LOVE, FRIEND, RELATIVE, PARTNER Matola for comming in my life! I will always love you, and you will have a special place in my heart always!
 
Last edited by a moderator:
Safi sana hii kwa wenye kufikiri kwa kichwa ni ujumbe mzuri ,kwa wale wanaofikiri kwa kutumia nanii hii pole zao
 
Aisee tena usiseme kuhusu wa ingereza pumbav kabisa kutwa kucha wanascrutinize mchezaji hadi mchezaji..ujinva mtupu.. wanacheza mpira kwen media?

On the same vein ndo nilikuwa nataka niseme.mfano naeeza kusema thank you Morg the party was nice but its over now...

Waingereza kwa kuwa abusive kutwa inapelekea hata 'ku ruin the party kila mara'
hawajui to have fun ,to enjoy it and to say thank you when its over...
 
Yap hili ni fundisho zuri sana na wengine unakuta watu mmechokana unaanza kumtukana , mara ooohhhh nirudishie nini na nini instead of that we have to say thank you and it was a beautiful moment au tuwe na tabia ya kukumbuka mafanikio pia kabla ya yote.
 
Haa haa....iliyoshindikana kivipi?
hupaswi kuondoka na dissapointment alone...kumbuka the party before,,thats all...
tazama waingereza walivyo abusive kwa wachezaji wao? inawasaidia?

Kwa Waingereza ni case tofauti, hakujawahi kuwa na party before!!!
 
Umefikiria nini Mkuu The Boss,

Yaani umeongelea jambo la maana sana. Mara nyingi sana tunajikuta tumefungwa kwenye kuangalia mabaya na kusahau mambo mengi mazuri tuliyofanyiwa na wenzetu.

Ndiyo maana Bibi huwa nampa sifa siku zote...She has been making me happy and no matter what, I will thank her for the party!

Mmmh babu, bibi yupi! !!!!
Au mla ni mla leo..
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaaaaaaaw! THANK YOU BABY WANGU, PIKO WA MOYO WANGU, MY LOVE, FRIEND, RELATIVE, PARTNER Matola for comming in my life! I will always love you, and you will have a special place in my heart always!

Huu mbona mwaka wetu...tutakoma.
Shurti vijiba vya roho vitatuiva na kupasuka....hapana chezea mahabaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom