Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,476
- 16,179
Yaani Wabongo bana walivyo malimbukeni wa kuiga,na kuiga kwenyewe hawakuwezei yaani utamkuta mwanaume anatumia make up za kike na saloon pia huwaga wanawapodoa wanaume kwa kutumia make up za kike na lipshine za kike pia kama mnabisha angalieni movies nyingi tu za kibongo wanaume wamepakwa mijipona tena ya wazungu wakati kuna vipodozi vya watu wa rangi pia kuna make up za wanaume so acheni ushamba,mara utakuta kidemu ati Bongoflava kimepaka mijimake up ya wazungu na mijirangi flani hivi juu ya kope yaani kama Vampire vile Lol Wabongo bana
Kwa kweli Tunakoelekea sasa kuna watu watashindwa kutambulika jinsia nzao hadi maungo yatakapokuwa wazi!