Hii kule Uchagani Enzi hizo ilikuwa ni ghala la kuhifadhia chakula hasa mahindi yanapovunwa, huwekwa bila kumenywa na kubakia katika hali hiyo hata msimu mwingine wa kulima hutolewa na kumenywa kupukusuliwa na hatimae kupelekwa mashineni kusagwa na wakati huo kata nzima ina mashine moja ya diseli, inaitwa IKUMBI hii ni kwa kichagga, nawasilisha.
nyumba ya chiriku
Ikumbi kwa kichaga cha rombo mkuu