Hii ni nini?

Hii ni nini?

Hii kule Uchagani Enzi hizo ilikuwa ni ghala la kuhifadhia chakula hasa mahindi yanapovunwa, huwekwa bila kumenywa na kubakia katika hali hiyo hata msimu mwingine wa kulima hutolewa na kumenywa kupukusuliwa na hatimae kupelekwa mashineni kusagwa na wakati huo kata nzima ina mashine moja ya diseli, inaitwa IKUMBI hii ni kwa kichagga, nawasilisha.

Ahsante kwa ufafanuzi mkuu
 
Hivi hawa askari.wameua halafu wanaleta wazike.. Wilijua mambo yataisha kama ya mwanndosi.. Watu was iringa safi sanaaaaaa kwa msimamo wenu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom