Hii ni nguvu gani?

Hatari...........nilisikia sehemu watu wazima walikua wanaongea wakasema kuna watu wana mikosi,au Gundu ukiwa nae
kama Biashara ita kufa kama pesa itaisha,sasa yako sijui niipi manake ndio kwanza nisikie ya kuhama nyumba..
Mimi usiniweke huko
 
Hilo ni gundu, una kimavi. Itafikia wakati kila mtu atakukumbia sio wanawake tu. Katafute machozi ya samaki na maziwa ya kuku uogee mara 3 kwa siku wataacha kukukimbia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Una nusksi ndio maana, sasa dawa yake upate mwenye nuksi mwenzako, hiyo kitu ipo sawa kwa watu wengi,

Una gundu, au ni mawazo yako tuuuu, pengine wewe ni msumbufu wanaamua kukukimbia
Mbona mnashindwa kuelewa nilichouliza? Hakuna niliposema wananikimbia
 
bora umejijua una mapepo mapema ndio acha kuwaaribia watoto wa wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…