KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Una gundu,nenda kwa KARUMANZIRA lakini ujiangalie maana siku hizi amegeuka ,amekuwa kama wale wachungaji wenye kutafuna kondoo wao.Imetokea si mara moja mbili au hata kumi, imekuwa ni kama uchawi sasa mwanamke yeyote nitakayetembea naye kama ni mpangaji mwenzangu hamalizi miezi mitatu lazima ahame nyumba kwasababu yeyote ile
kama ni barmaid hivyo hivyo kama ni house girl mule mule kama ni mfanyakazi ofisini ndio usiseme.
Nakaa na kujiuliza sana hii ni nguvu gani? Ni nzuri au mbaya?