Hii ni namba ya nchi gani?

Hii ni namba ya nchi gani?

Whitney Houston

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
237
Reaction score
444
Eti waku hii namba ya nchi gani naogopa kuipokea
2021-12-07-16-57-29.png
 
Kwamba ukipokea utayeyuka au?.Au unaamini zile stori za namba inayochukua watu kimiujiza.Wewe pokea mzungumzaji akiongea ujinga kata.vinginevyo labda uwe unadaiwa sana sasa una wasiwasi na wadeni wako,just joke.
 
Ngoja wakipiga tena tapokea.
 
Back
Top Bottom