Hii ni moja ya tabia ya mwanamke aliyetoka kuchepuka

Hii ni moja ya tabia ya mwanamke aliyetoka kuchepuka

kuna jamaa aliwai niambia kuwa ukiona mwanamke ametoka matembezi na kufikia bafuni kufua nguo yake ya ndani jua amechepuka je hii inaukweli?

Aaaaah aaaah ngoja wanakuja sasa hivi utapata mrejesho najua umekumbana na hili
 
Khaa! mbona ke wengi hubadili vyupi baada ya safari! nikutokana tu na necha ya maumbo yao wala haijalishi anatoka kuliwa. after all gest nyingi na mageto yana vyoo.
 
Siyo kweli;
Ukiona hivyo juwa kuwa yuko kwenye anga zake anajisafi tu;
 
Upande mwingine "ndio"upande mwingine "siyo"wanaosema siyoo wangapiii?
 
kwaiyo akiingia bafun we machozi yanalengalenga sasa akitoka na chupi imefuliwa si utajimaliza na viroba
 
Acha kukariri pia usiingize akili yako kumuwazia mkeo/mpenzio kukutenda mabaya badala yake jiweke bize umfuatilie au usimfuatilie kama kuliwa kupo palepale
 
Usiwaonee wanawake mkuu....wenzio mabomba yao yapo wazi muda wote yanavuja maji
 
Ni usafi tu na anataka akikutana na mwenza awe kwenye hali ya usafi.

Ingawa pia chochote kinawezekana
 
Eeeeeehhh inaweza ikawa sababu kuwa alikuwa amechepuka ama itakuwa yalimkuta njiani..?
 
sio kweli,ukitaka kujua kama katoka kweny mchepuko nipm nikupe maujanja
 
Kwanza wengi weo wanatembea na chupi ya akiba..mikoba ina siri nyingi.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
kwaiyo akiingia bafun we machozi yanalengalenga sasa akitoka na chupi imefuliwa si utajimaliza na viroba

hahahahaha.....mkuu umekamilisha cku yangu..
watu watund xana humu
 
Kuna jamaa aliwahi niambia kuwa ukiona mwanamke ametoka matembezi na kufikia bafuni kufua nguo yake ya ndani jua amechepuka je hii inaukweli? Wanaojua kuwa kuna ukweli juu ya hili watujulishe.

Kuna uwezekano..na huwa wanawahi kuoga pia..dawa we siku ukimstukia akiingia tu ndani mnusishe ugoro..akipiga chafya tu lazima atadownload GB kadhaa alizouplodiwa na bwanake huko alikotoka
 
Back
Top Bottom