Hii ni moja ya tabia ya mwanamke aliyetoka kuchepuka

Hii ni moja ya tabia ya mwanamke aliyetoka kuchepuka

Kuna uwezekano..na huwa wanawahi kuoga pia..dawa we siku ukimstukia akiingia tu ndani mnusishe ugoro..akipiga chafya tu lazima atadownload GB kadhaa alizouplodiwa na bwanake huko alikotoka

hahahahahaaaaaaa...................kwa hiyo Captain hili wazo umeamua kulinunua kule kwenye thread yako? Si ajabu ushanunua ugoro wewe tayari kwa utekelezaji. Sasa kama walidaunlodia kwenye condom je? Atanusa ugoro, lakini hatadaunlodi hata MB 0 lakini kumbe kweli kafanya. Au kweli kafanya bila condom halafu akakamulia humo ndimu ikakata utelezi wote zikatiririka chap chap kwa sababu ya wepesi. Binadamu utamchunga wapi!! Kuweni na amani tu bwana. Kwani huko walikofanyia hakuna choo au bafu? hata vya kulipia mabarabarani vipo. Kwa nini aje nyumbani kukupa wewe shaka? Mwanamke kukimbilia bafuni kuna sababu nyingi: labda kabanana na mtu mchafu kwenye daladala, au amehisi chupi imelowa labda ni damu ya hedhi au ute (kuna kipindi ute unaweza kutoka mwingi kutokana na maswala ya homoni), au kwa sababu zisizozuilika kajikojolea kidogo, au kutokana na ugumu wa mazingira kajisaidia mara kadhaa bila tissue ya kujifutia au maji kwa hiyo anajihisi kunuka mkojo, au anajua kitakachofuata baada ya yeye kuingia ndani ni mechi.............. sababu ni nyingi.
 
saa nyingine wasiwasi akili..saa nyingine mnasikika kwenye beauty-parlour zenu mnarekebisha nywele huku mnatuponda vibaya sana..."lile ----- tu..yaani hata nikitoka ku-do halina habari...nikiingia ndani salaam linapokea huku macho limeyakazia kwenye "The East African". saa nyingine naongea na serengeti wangu lenyewe lipo tu hapo kama boya wala halistukii mchezo...." mnadhani twayapenda hayo maneno???

Ukiwa mwanaume lazima usimame kama mwanaume ili hata mwanamke aseme nina mwanaume, tabia ya mwanaume kuruhusu mwanamke akupande kichwane eti ndio uzungu tegemea kuitwa zuzu,
 
Back
Top Bottom