tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,423
Kuna uwezekano..na huwa wanawahi kuoga pia..dawa we siku ukimstukia akiingia tu ndani mnusishe ugoro..akipiga chafya tu lazima atadownload GB kadhaa alizouplodiwa na bwanake huko alikotoka
Km wametumia condom hiyo trick yako imefeli