Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,408
- 8,702
Mzee wa Kasumba umeshapata kazi au ndiyo unafanya kazi ya kutongoza tu?
Kutongoza kuko nje ya kazi kabisa mkuu. Hii ni kama pumzi. Yaani uwe na kazi wala usiwe na kazi utapumua mpaka utakapo kufa.Mzee wa Kasumba umeshapata kazi au ndiyo unafanya kazi ya kutongoza tu?