mzee wa kasumba

  1. mzee wa kasumba

    Nimewakumbuka wapenzi wangu wa zamani

    Zawadi zawadi yangu, uwapi binti mweupe Kipenzi wa roho yangu, kabinti mwenye mapepe Na ahadi za kizungu, wacha ukweli nikupe Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo Kwakuwa mwana sanaa, nitawataja kwa beti Yameshapita masaa, simsahau Bahati Alojiona staa, ameolewa BABATI Leo nimewakumbuka, ma X wa...
  2. mzee wa kasumba

    Kumbe si ‘type’ yako, kwanini umenichuna?

    Kumbe hunitaki binti, yanini ulinichuna? Ukadinya zangu senti, Kumbe upendo hakuna Sasa I don't want, Kusikia lako jina Kumbe si type yako, kwanini ulinichuna? Najuta kukufahamu, Nimeshajiona boya Japo dhambi kuhukumu, Ila wewe ni mala,,,,,,, Nimeambukia sumu, nitaandika riwaya Kumbe si type...
Top