Hii ni mbaya zaidi......................... ..

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,048
Reaction score
4,449
It is Monday again!!!!!!!!!!!!!!!!

Salaaaaaaaaaaaaaaam kwa wote.

Hi kweli ni fair? hapana jamani nyie SHE this is too much!!!!!!!!!!!!!

Home kuna ka sherehe hivi......tumealika wageni kama kawa....si unajua tena sherehe ni watu. Kuna wageni wengi sana wengine siwafahamu wanafahamiana na mke wangu. Sasa utambulisho si ukafika bwana***********!! Kuna kijana fulani hivi katambuliswa ni mfanyakanzi mwenzake na wife.....mimi sina hili wala lile .....tukaendelea na maisha ...kukiwa na function yoyote ile kijamaa kinakuja kama kawa. mbaya zaid ile kitu tunaita chiazi nagongesha nae glass.

Kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Siri imefichuka............... jamaa anamgegeda wife na wife kakolea vibaya mno kwa mshikaji mbaya zaidi wife anamtambulisha kwa marafiki zake kuwa wanapendana sana lol.

Why wife ameamua kunifanyia hivi? tena anamleta mpaka home? hapani hii ni mbaya zaidi.

Ungekua wewe ungefanyaje....

it iz true story
sio mimi lkn coz bado sijaoa
 
Kwani ukisema wewe ungekuwaje mkuu. funguka tukupe ushauri maana hapa watakusema sana wewe
Inauma sana
 
Pole sana mkuu,ila kumleta mpaka om dharau iliyoje lol!!
 
Wafanyie kama yule jamaa wa ikulu alivyomfanyia jamaa yetu halafu tupa mabwepande
 
Hafai huyu mwanamke hafai hata kulumangila na kachumbali

Ukichunguza kwa makini utagundua kuna matatizo ya ndoa internally,si bure
muulize vizuri huyo jamaa ako,kama ni wewe basi jichunguze mkuu.
 
dawa ya moto ni moto.

Mkuki wa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu lolz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…