Hii ni maajabu

Hii ni maajabu

Zile ni dalili za kuchanganyikiwa si alipigwa chini kwenye mkeka wa juzi juzi.
Aje mtaani ajiajiri wafungue mgahawa na huyo dem maisha yaendelee

Asituletee ufamba wake hapa😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mikwara ipi ina mana mke haeelewi kua huyo Binti ni msumbufu si unampa namba wanapambana wenyewe, halaf huyo demu hawezi kaza kiasi hicho unaeza Kuta nyuma ya milango anamfaham MUHESHIMIWA ni mtu wa totoz
Inawezekana ni msumbufu lakini mpaka akashitaki?
Niliwaza tu labda mke kaingilia na kumwambia kama humjui kamshtaki basi

Sisi tuna assume tu ila hatujui ukweli ni kama wapiga ramli tu 😂
 
Back
Top Bottom