Hii ni kweli wakuu au ni utapeli mpya mjini

Hii ni kweli wakuu au ni utapeli mpya mjini

Ingekuwa kweli usingeambiwa hata kidogo maana binadamu tuna roho ya ubinafsi sana ndiyo maana hautakuta hata siku moja kwenye makanisa au misikiti unatangaziwa nafasi za kazi zilizotangazwa ,wanakwambia tu toa zaka ili uende mbinguni ,mbinguni kuna raha na vitu vizuri sana kuliko vya duniani ,sasa kama kwenye raha unaambiwa inakuwaje mambo ya duniani ambayo ni madogo tu hauambiwi? Hao washehe na wachungaji wanaamasisha hivyo kwasababu na wenyewe hawana uhakika papoje lakini wangekuwa wanajua 100% kulivyo wasingekwambia.
Exactly.....but something wrong
 
Mambo vipi wakuu! Ni kama wiki mbili sasa nimekua nikikutana na hii ishu kwenye mitandao ya kijamii hasa Facebook leo nimeona ngoja niwashirikishe na wadau wa JF. Vipi wakuu hii ishu ni kweli au ndio ukibofya link tu umekwishaa!!View attachment 2942483
Ndugu
unapaswa kuwa na mtu mzima unapoingia mtandaoni hasa JF
 
Matapeli wanakuja na mbinu tofauti tofauti siku hizi. Na wanajitahidi kuja na mbinu ambazo zimekaa kama kweli. Kwaio kua makini sana
 
Mambo vipi wakuu! Ni kama wiki mbili sasa nimekua nikikutana na hii ishu kwenye mitandao ya kijamii hasa Facebook leo nimeona ngoja niwashirikishe na wadau wa JF. Vipi wakuu hii ishu ni kweli au ndio ukibofya link tu umekwishaa!!View attachment 2942483
Utoto huu! Kwahiyo mpaka leo bado hujui kuwa UNICEF siyo kampuni?
 
IQ ndogo tu ina maana hujui UNICEF inahusika na nini?

unaambiwa ni kampuni na wewe unapapatika kmmk😅😅
 
IQ ndogo tu ina maana hujui UNICEF inahusika na nini?

unaambiwa ni kampuni na wewe unapapatika kmmk😅😅
Mkuu unatukana Ramadhani yote hii plus kwaresma!!?
 
Back
Top Bottom