hatuingii kabisa means ata ACC hatunaMmmmh FB mnaojiweka humu hamuingii au hamna ACC mumo humo daily.
Umekuja mjini lini?Mambo vipi wakuu! Ni kama wiki mbili sasa nimekua nikikutana na hii ishu kwenye mitandao ya kijamii hasa Facebook leo nimeona ngoja niwashirikishe na wadau wa JF. Vipi wakuu hii ishu ni kweli au ndio ukibofya link tu umekwishaa!!View attachment 2942483
ausiyo?? haya mzee endelea na fb hakuna maneno.Nani aliyekuambia fb ni ya watoto katembelee group za Facebook mabara mengine ukiacha Afrika uone Kuna mambo ya kipuuzi
18+ vipi mkuu??Una umri gani?
Daaah!🤔Waulize kama kwenye hy sherehe kutakuwa na msosi ili ukawauzie mchele wenye virutubisho
Shukrani sana mkuu..Utapeli umejaa kuwa makini sana.
Ukimjibu labda atakuomba pesa as kukunasa kitu kwa yako hiyo au lolote.
Real PatriotUnatumia jina gani fb watu wawajue jamaa Mza
Daaah! kumbee...shukrani sanaWanapeana. kiswahili cha kikenya kama hiyo account niya rafiki yako itakuwa imedukuliwa na wakenya.
Password tena🤔??Ni kweli mkuu, Mimi nimewapatia Acc. Number yangu na password wakaniwekea.Wewe wapatie Namba yako ya MPesa na passwors yako ukiweza watumie na hela kdg ya usumbufu ili wakuhudumie haraka.
Si tulisha kubaliani
kwamba
fb ni ya watoto au??
Kuna watu wengi sana wamelizwa mkuu, so thread kama hizi zinasaidia kuwasanua watu mkuu.kuna thread nyingine ukishaifungua unatakiwa ujilaumu kwa kupoteza muda wako hta km ni sekunde
Hapo hata mimi nilihisi kabisa hapa nachotwa mzimamzima😂😅Bosi unataka hela ya Mwaka mpya na ndio kwanzaa mwezi wa tatu??😂😂😂😂😂
Achana nae huyo account yenyewe JF amefunguliwa halafu anajifanya kuichukulia poa FBWatoto gani, watu tunafanya shughuli zetu fb.
Shida ndio ipo hapo....Upewe pesa bure kwa lipi?
Sema watz tunajikutaga mataaawi sasa kunaishu gani mtu kutumia FBausiyo?? haya mzee endelea na fb hakuna maneno.
something wrong..UNICEF ni kampuni kubwa, usiogope.