kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Vitu ambavyo havina dawa ni uzee na kifo tu magojwa yote dawa ipo acha kukaririMleta mada uliiangali hii clip na kuridhia kabisa kutuwekea hapa?
Kuacha uzinzi ndo LAZIMAAAAAAJamani kutumia kondomu ni LAZIMAAAAA
Ova
Ndio shida yao wanaamini kuwa dawa lazima itoke kwa.mtu.mweupe ndio waamini.Dawa imekuwepo long time ago, it's just u believe in white pipo sana, they brain washed u.
dawa ngapi za kienyeji unazozifahamu zilifanyiwa utafiti awali? we should not dismiss it readily kwamba haiwezekani. tuache research/tafiti za kina zituelekeze kwamba ni kweli au si kweli. lakini until then tukae mbali kidogo.....Mungu akipenda dawa ipatikane inawezekana.
Kiukweli yaani kisayansi kupata dawa yenye sifa zinazofanana na kirusi cha ukimwi inayoweza kujitransfigure ikareact na kubadilika from one stage to another hadi ifikie kwenye seli kiini ikawaharibu hao wadudu pasipo kumdhuru kumuua mtu ni kazi.
Tatizo most of us hatujui sifa za kirusi cha ukimwi. Huyo mdudu ni noma. Sayansi yetu bado iko chini ktk masuala hayo ila nadhani india wameadvance parefu sana.
Utapeli mwingi ndiyo unaotawala.
Mtu akisema amegundua dawa hapo si ndiyo anawaalika wataalamu wakafanyie utafiti dawa yake ili ijulikane kama ni sawa au hapana.dawa ngapi za kienyeji unazozifahamu zilifanyiwa utafiti awali? we should not dismiss it readily kwamba haiwezekani. tuache research/tafiti za kina zituelekeze kwamba ni kweli au si kweli. lakini until then tukae mbali kidogo.....
kaa mbali ndugu, la sivyo mwili wako utageuzwa maabaraMtu akisema amegundua dawa hapo si ndiyo anawaalika wataalamu wakafanyie utafiti dawa yake ili ijulikane kama ni sawa au hapana.
Sasa kama wataalamu wa utafiti wako mbali tufanyaje mkuu.
Saruti mkuu wajinga ndio waliwaoWengi waliogundua dawa hii weshapotezwa sana. Maana huu mnaoita ugonjwa una siri kubwa sana, wanaoelewa wamekaa Kimya. Acha wapumbavu waendelee kuteketea na arv's.