mamii, jifunze kumuamini mwenzio na kumuamini Mungu! bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.niliona mdada akiachika kwa sababu ya kum-comfront kila mtu kuwa ana-affair na mumewe (including mama,bibi,mama wadogo na binamu za mumewe!). its an obbssession, nt a good thing.unahitaji sababu za kutosha kumshuku mtu.maisha yanakuwa marahisi,unafurahia mahusiano, na utavuka daraja utakapokutana nalo (labda halipo, au liko kama la mkapa unapita na lori speed 200!)
</p>
<p> </p>
Juzi umekuja na thread ya kushangaza sana, umelalamika kweli kuhusu mwanaume sijui ni mume/boyfriend au la. Kwa hii ya leo nimegundua kiitu kwako, UNA WIVU KUPITA KIASI, muombe Mungu akutoe huko maana wivu nao ni dhambi, kero at the same time. Kama una wivu wa hivyo ni tatizo kubwa sana, amani utaisikia kwa jirani.
Mungu akutie nguvu.
Kama WIVU NI DHAMBI Mungu asingekua mwenye WIVU!!
Sijui kwa nini namuonea wivu Lizzy?
Soma biblia utamjua!!Mungu yupi huyo mwenye wivu? hebu tuelimisheni.
Sijui kwa nini namuonea wivu Lizzy?
Hahahhaha BE niambie nifanye nini ili usinionee tena!!
Am watching....................na wivu wangu!
Kwa hiyo tuseme unampenda NN kiasi hicho,!!!! nice one!!
NN tena?
Mungu yupi huyo mwenye wivu? hebu tuelimisheni.
Hupitwiiiii???Alafu NN sio wewe mwenyewe babu ehhhh!!