Hii ni kwako wewe uliyehitimu mafunzo ya chuo

Aug 17, 2016
73
39
  • HONGERA KWA KUHITIMU MAFUNZO YAKO. SASA UNAINGIA KATIKA SOKO LA AJIRA..UNAHITAJI CV.
    JINSI YA KUANDIKA CV NZURI KWA WAHITIMU.
    -Weka namba za simu na barua pepe juu mwanzo wa CV baada ya jina.
    -Ni vyema CV yako isizidi ZAIDI ya kurasa 2.(kwa wahitimu)
    -Usikopi CV ya MTU mwingine KUMBUKA malengo ya kazi yanatofautiana.
    - Epuka makosa ya uandishi.
    -Taarifa za taaluma na ujuzi zikae katika ukurasa wa kwanza.
    -Taja ujuzi wako na kazi unazozipenda.
    -Usitumie maneno haya ( "I" ...au .."me"..) -Weka wadhamini walio tayari kwa wakati wowote kukusimamia.
    -Cv iwe na mpangilio mzuri.
    -Kuwa makini na tarehe ulizoziandika.
    -Uwe tayari kutetea chochote kilichoandikwa kwenye CV yako.
  • CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. EPUKA MATAPELI. :)
 
Ahsante kwa kutukumbusha maana hayo mambo huwa yanafundishwa kwenye somo la communication skills
 
Back
Top Bottom