Hii ni kwa Web Developer wote

gumya

Member
Mar 4, 2015
92
28
Habari,
Nina web system ambayo nahitaji ifanyiwe maboresho mbalimbali lakini nimewatafuta web developers wengi na wakiwemo zaidi ya kumi wa humu Jf ili wanifanyie kazi hiyo na tumekua tukizungumza vizuri tu lakini tatizo huwa linaanza baada ya wao kuniuliza hii web system inatumia Framework gani!? Baada ya kujibu kuwa inatumia Yii kama Framewok karibu wote hawanijibu tena wala kusema chochote kama wanaweza kunifanyia kazi hiyo au laa,mmoja tu ndio kaniambia kuwa Framework hiyo hakuisoma napia akaongeza kwamba developer wengi wa hapa nyumbani wamesoma Codeignator pekee.Mimi binafsi siamini kama kweli hapa nyumbani Tanzania developer wengi wanajua Framework moja tu labda niwakaribishe wataalam/web developers kwa ufafanuzi zaidi.
MWISHO: ambae anaweza kunifanyia customization ya web system hii yenye kutumia Yii2 kama Framework ani PM tafadhali.
Asanteni.
 
Mm natumia framework tatu ku develop website. Angular js,react, na frame work unayotumia. I am experienced also.

I think tunaweza fanya kazi pamoja
 
Habari,
Nina web system ambayo nahitaji ifanyiwe maboresho mbalimbali lakini nimewatafuta web developers wengi na wakiwemo zaidi ya kumi wa humu Jf ili wanifanyie kazi hiyo na tumekua tukizungumza vizuri tu lakini tatizo huwa linaanza baada ya wao kuniuliza hii web system inatumia Framework gani!? Baada ya kujibu kuwa inatumia Yii kama Framewok karibu wote hawanijibu tena wala kusema chochote kama wanaweza kunifanyia kazi hiyo au laa,mmoja tu ndio kaniambia kuwa Framework hiyo hakuisoma napia akaongeza kwamba developer wengi wa hapa nyumbani wamesoma Codeignator pekee.Mimi binafsi siamini kama kweli hapa nyumbani Tanzania developer wengi wanajua Framework moja tu labda niwakaribishe wataalam/web developers kwa ufafanuzi zaidi.
MWISHO: ambae anaweza kunifanyia customization ya web system hii yenye kutumia Yii2 kama Framework ani PM tafadhali.
Asanteni.

Mtu naemjua ni jamaa anaitwa [HASHTAG]#StefanoMtango[/HASHTAG] ndo mkali wa Yii Framework
Hosanna Higher Technologies
 
Back
Top Bottom