Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

Kwa mujibu wa mwongozo wa chama cha ACT wazalendo,kila mwezi watakua wanatoa taarifa ya mapato na matumizi,kwahiyo wee subiri mambo yakae vizuri mambo yote yatakua wazi
 

Chama cha zito
 
Yeye mwenyewe Muuza Urembo mtaani utapata wapi pesa wewe.?. Si unajua kazi za waha ni urembo na kuuza matunda kwenye vitoroli Kariakoo?.

Kumbe hakuna ufisadi pouwa, vizur kuwa wauza urembo kuliko... ubarikiwe
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Kwa Hiyo Haya Ndio Majibu Ya Maswali Yalioulizwa?
 
Hivi ile michango ya Sabodo kwa chadema waliifanyia nini?
 
Humu ndani watetezi na wasemaji wakuu wakuu wa ACT ni vijana wa ccm na ndo watetezi wakubwa
 
Mfalme ni Mbowe aliechakachua katiba ya chama ili aendelee kubaki madarakan kama mfalme
Ndio kwani wewe uliona wapi wanachangishana?. Au mlichangishana usiku kwenye giza km Mfalme wenu alivyopewa Kadi ya Kikundi Chenu Usiku wa Manane?.
 
Kabla yakuhamia Act nilikuwa mwanachama halali wa cdm but nilikuwa namkubali mwakyembe japo ni mwana ccm.So hata wanaccm kumkubali Zitto si jambo la kushangaza coz cku hiz watu tunaangali utendaji wa mtu na si chama.
Humu ndani watetezi na wasemaji wakuu wakuu wa ACT ni vijana wa ccm na ndo watetezi wakubwa
 
wewe sio mwanachama na hata haufatlii, coz michango imechangishwa mpaka fb et mwanachama, mwanachama gan?
 
Majibu bado tuu!? Kama majibu ya wiki moja iliyopita yanatumia mwezi kujibiwa au kutojibiwa kabisa, itakuwaje ukihitajika ufafanuzi wa miaka miwili itakayokuwa imepita? Au yanakuja kwa reverse?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…