MTRANSPARENT
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 740
- 205
Cha ajabu hii thredi inajibiwa na makada wa ccm.
utajua km n wazalendo au makada wa CCM
Cha ajabu hii thredi inajibiwa na makada wa ccm.
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?
wewe sio mwanachama na hata haufatlii, coz michango imechangishwa mpaka fb et mwanachama, mwanachama gan?
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Chadema, Dr. Slaa alisema mbele ya msajiri wa vyama vya siasa (Mangula alikuwepo) kwamba CDM ndio chama pekee kinachopelekaga hesabu zake za fedha kwa msajiri, sio Philip Mangula wala msajiri waliobisha, hadi leo wapo kimya, silence means yes
Naomba pia nikueleweshe, mkaguzi wa hesabu sio jukumu lake kukagua hesabu za vyama vya siasa na kama lingekua ni jukumu lake CDM wala wasingekua na hiari ya kukataa au kukubali, uwe unaelewa we kichwa maji
Chama Cha Uwazi wapi? Subirini mjionee madudu
Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi?
Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.
Mtowa post kama kjinyea vile

Hapo hakuna cha uzalendo wowote hao wanaongozwa ma mfalme wasiomjua malengo yake,kwanza jamaa ni fisadi sema anajificha kwenye shamba la karanga ambapo wenye macho hatusumbuki kumuona.
Michango ya wanachama wetu na marafiki wa chama hiki wamejitoa sana kukisaidia chama
This is cheap politics for very shallow minded people only
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?
Kwa mujibu wa mwongozo wa chama cha ACT wazalendo,kila mwezi watakua wanatoa taarifa ya mapato na matumizi,kwahiyo wee subiri mambo yakae vizuri mambo yote yatakua wazi
Michango ya wanachama wetu na marafiki wa chama hiki wamejitoa sana kukisaidia chama
Na zile mnazopewa na ccm nazo mtaziweka wazi?