Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

sleep walking,,,,, never argue from the vacuum you will loose your energy for nothing
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Mada juu ya mada, si uanzishe post mpya. Hapa jibu linatakiwa, ni chama cha uwazi, basi tuwe wazi kwa yote, vinginevyo na nyie mnatudanganya tu, yaleyale hakuna jipya
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?
Pia tunaulizia zile pikipiki za M4C zilizouziwa CHADEMA kwa milioni 3 TOYO moja,
Tenda ya kussuply alipewa nani?
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

nadhani ungetoa majibu tu kuliko kurukia habari zilizochacha na ambazo hazina ukwel au zilipata majibu stahili! Ni vema kama wew ni act utoe majibu ili kukidhi takwa la uwaz wa chama chenu, kama ni mwanaccm jaribu kuwashawish wenzako haya matumiz makubwa wanayofanya wakumbuke kutunza nauli maana muda si mrefu wataanza kusafiri kwa tabu kama wasomali na waeritrea hapa nchin
 
Lingine ile Fomu ya Mali zake aliyoisaini mbona mpaka Leo haionekani?

Tunakushukuru kwa kuupenda utaratibu huu nenda tovuti ya chama utaipata muda si mrefu, jitahid nawe uwashawish viongoz wako wawekewaz malizao ujue
 
Mkuu MAHORO wakikujibu hayo maswali, nahama nchi. Pili, usiporidhika na majibu yao unaweza pata ufafanuzi wa hayo maswali toka kwa Juliana Shonza anajua source of fund ya ACT-Wazalendo.

.... Hahaha, Labda Juliana Shonza Atanipa Majibu Ngoja Tusubiri.
 
Tunakushukuru kwa kuupenda utaratibu huu nenda tovuti ya chama utaipata muda si mrefu, jitahid nawe uwashawish viongoz wako wawekewaz malizao ujue

Mngejibu maswali juu ya uwazi wa act mnaohubiri.
Kuwa mfuasi wa mtu flani badala ya kuwa mfuasi wa itikadi flani imeanza kuwagharimu watetezi wa act, mnakosa hoja na itikadi za kuzieneza kwasababu nyie itikadi is not your priority, kipaumbele chenu kilichowasukuma kuwepo huko ACT ni hisia zenu na mahaba yenu juu ya mtu fulani.
Bila kujijua mnajikuta mnabaki dilemma kwasababu huyo aliyewafanya mjumuike hapo act anahubiri utopian thinking so mnajikuta hamna cha kutetea kwasababu mmemfanya dreamer kuwa nuru ya chama chenu.
 
Mkuu ukijibiwa maswali yako ipasavyo haki ya nani narudi kuwa mwanachama wa Cdm
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?
 
Nawe jibu maswali aliyokuuliza ifweero ili nijitoe ufaham kwakurudi kuwa mwanachama wa Saccoss ya Mbowe na Slaa
Mngejibu maswali juu ya uwazi wa act mnaohubiri.
Kuwa mfuasi wa mtu flani badala ya kuwa mfuasi wa itikadi flani imeanza kuwagharimu watetezi wa act, mnakosa hoja na itikadi za kuzieneza kwasababu nyie itikadi is not your priority, kipaumbele chenu kilichowasukuma kuwepo huko ACT ni hisia zenu na mahaba yenu juu ya mtu fulani.
Bila kujijua mnajikuta mnabaki dilemma kwasababu huyo aliyewafanya mjumuike hapo act anahubiri utopian thinking so mnajikuta hamna cha kutetea kwasababu mmemfanya dreamer kuwa nuru ya chama chenu.
 
Last edited by a moderator:
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Leo ndio nimeamini kumbe ACT ni tawi la CCM !
 
Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi?

Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.
Juliana Shonza aliwahi kujibu hili swali km sikosei
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom