Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi?

Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.

Mkuu wafadhili wa ACT ni wale wapenda mabadiliko ya kweli; haujakatazwa kuchangia japo sh. 100

ACT wazalendo hawasubiri kuchangishwa au kupigiwa mbiu, tunaanza na wenye moyo

ukiwekewa majina ya akina nani waliochangia hautaamini wako watu wa kila vyama, taasisi n.k

kama ulifikiri take away na maji ni gharama kuliko ukombozi wa taifa hili...pole we
 
Kwanini vijana wa ccm mmekuwa watetezi wa ACT, mnawaharibia wenzenu au labda kama ndo makubaliano yenu.
 
Mngejibu maswali juu ya uwazi wa act mnaohubiri.
Kuwa mfuasi wa mtu flani badala ya kuwa mfuasi wa itikadi flani imeanza kuwagharimu watetezi wa act, mnakosa hoja na itikadi za kuzieneza kwasababu nyie itikadi is not your priority, kipaumbele chenu kilichowasukuma kuwepo huko ACT ni hisia zenu na mahaba yenu juu ya mtu fulani.
Bila kujijua mnajikuta mnabaki dilemma kwasababu huyo aliyewafanya mjumuike hapo act anahubiri utopian thinking so mnajikuta hamna cha kutetea kwasababu mmemfanya dreamer kuwa nuru ya chama chenu.

Kashajibiwa, hayo mengine umeyaona wewe nivizuri kuamini hivyo ulivyo amini lakini si uhalisia ulivyo
 
Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi?

Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.

ACT inakuwasha sana kwenye masaburi yako
 
Mkuu wafadhili wa ACT ni wale wapenda mabadiliko ya kweli; haujakatazwa kuchangia japo sh. 100

ACT wazalendo hawasubiri kuchangishwa au kupigiwa mbiu, tunaanza na wenye moyo

ukiwekewa majina ya akina nani waliochangia hautaamini wako watu wa kila vyama, taasisi n.k

kama ulifikiri take away na maji ni gharama kuliko ukombozi wa taifa hili...pole we

Umejitahidi kumpendelea kwa kumpa uwazi wa kizalendo kiukweli jamaa hatarudia swalihili naona atakumbuka kuwa CCM wapo
 
tulichanga pesa kupitia namba zilizokuwa zimesambazwa mitandaoni.
 
Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi?

Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.

'Hebu punguza maswali, kwanza umeshakula kijana?' In Roma's voice kwenye Nchi ya Ahadi ft Kala Jeremiah
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Hayo Maswali muulize CAG. Maana km kuna matatizo makubwa kwenye chama wangenyimwa Ruzuku. Km wanapata bado bac ujue chama kiko vzuri.
 
Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA
Wana body, amani iwe kwenu.

Taarifa za kuaminika ambazo intelijensia ya Lizaboni imepata ndani ya CHADEMA ni kwambaFreeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na Katibu Mkuu Dr Slaa wanahujumu pesa ambazo zilitengwa kwa ajili ya kuendeshea Website ya chama ambayo ni Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo – Chadema. Kwamba, kiasi cha shilingi milioni 25 kilitengwa kila mwezi na mfadhili mkuu wa chama, taasisi ya Ujerumani ya CAS kwa ajili ya kuboresha mfumo wa kusambaza taarifa za chama kupitia website hiyo. Kwamba fedha hizo zimeingizwa kwenye akaunti ya chama na zinatolewa kila mwezi kwa maelezo eti zinatumika kulipa mishahara waandishi wa mtandao huo, kugharamia gharaza za simu, tozo mbalimbali na matumizi mengine.

Cha kushangaza ni kwamba, hakuna hata mwandishi mmoja ambaye anapokea mshahara kutokana na kazi ya kuandika kwenye mtandao huo. Inaelezwa pia kuwa kwa sasa mtandao huo hauna msimamizi maalum na inaelezwa kuwa Dr Slaa alisitisha ajira za vijana waliokuwa wanaandika taarifa kwenye mtandao huo mwishoni mwa Oktoba 2014 kwa maelezo kuwa mtandao unafanyiwa ukarabati. Miongoni mwa vijana ambao ajira zao zilisitishwa ni pamoja na Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda na wengineo.

Intelijensia ya Lizaboni baada ya kupata taarifa hiyo ilijiridhisha kwa kutembelea mtandao huo. Ilichokikuta ni aibu tupu. Pamoja na mtandao kupambwa kwa rangi mbalimbali za CHADEMA, hauna taarifa mpya hata moja licha ya matukio mengi kutokea ndani ya nchi yetu. Tukio la karibuni ni sakata la AKAUNTI ya ESCROW ambalo lilipamba vyombo vyote vya habari hapa nchini. Cha kushangaza ni kwamba, kwenye mtandao huo wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo – Chadema hakuna mada yoyote inayohusu sakata la ESCOW. Uchunguzi wa Intelijensia ya Lizaboni umegundua kuwa taarifa tatu za mwisho ambazo zimewekwa kwenye mtandao huo ni hizi zifuatazo;
SIRI ZA CCM KUHUJUMU KATIBA YA WANANCHI ZAFICHUKA ( Iliyowekwa tarehe 5/11/2014)
TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA( Imewekwa tarehe 9/10/2014) na
MKUTANO MKUU WA CHAMA KUMCHAGUA MWENYEKITI TAIFA LEO (imewekwa tarehe 14/9/2014)

Kutokana na hali hiyo, fedha hizo wanagawana Mwenyekiti, FREEMAN MBOWE ambaye anapata mgawo wa shilingi milioni 8, Katibu Mkuu, Dr Slaa anapata shilingi milioni 7, Mkurugenzi wa Fedha wa chama, Anthony Komu anachukua shilingi milioni 5 na kiasi kinachobaki kinatumika kuendeshea blog ya chama ambayo ni chademablog.blogspot.com ambayo pia gharama za uendeshaji ni ndogo.

Hakika hii inatisha. Ni ajabu kubwa kwa watu wanaojifanya kuwa wanapinga ufisadi kumbe wao ni mafisadi wakubwa.

Bado tuna safari ndefu katika kupambana na ufisadi.

Nawasilisha

Km kuna hayo matatizo na unaushahidi nayo Tangulia Mahakamani ukashitaki.
 
Back
Top Bottom