Hii ni kwa wapiga pull wote

Hii ni kwa wapiga pull wote

Jchris14

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
1,078
Reaction score
2,537
Wakuu salamu popote mlipo, pia poleni na heka heka za kila siku maana kwa ground mambo ni magumu sana, tuendelee kujitafta.

Nirudi kwenye key, kwa ufupi sana:......

"wewe legendary kama uliweza kujinasua na kutoka kabisa kwenye mfumo wa kujichukulia sheria mkononi, hakika siti yako ipo mbele kabisa na kuanzia sasa, umeingizwa kwenye baraza kuu na kongwe la kutatua migogoro sugu ya ardhi.....".

Mwisho wa kunukuu, tukutane kwenye ile kesi kubwa na nzito ya ardhi ya bwana Kuchoka na Masumbuko.

NB: Tuelewane Mimi sipo kabisa kwenye huo mfumo📌🔨
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom