Hii ni kwa wana-CHADEMA tu

Account za cdm kulingana na tovuti yake: www.chadema.or.tz
NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310
Pia kuna ile ya kutuma neno CHADEMA kwenda 15710 ambayo ni Ths 350/= kwa sms.
Nashauri CDM ifungue pia account katika NMB na CRDB kwani hizo ndio benki wanazomudu walalahoi.
 

Kujitolea kwa wana cdm huwa ni kugumu sana , na wengi wao ni watu wa kupenda vitu vya bure bure km ilivyo sera yenu !
 

Mie hizo zote nazijua , hizo akaunti hazina kitu hv sasa hela yote iliishia igunga mkuu ! waulizeni watu wa benki hizo watawaambia
 
hili ni jambo zuri sana, ni wajibu wa kila mpenda mabadiliko na demokrasia ya kweli achangie, hatuwezi wote kwenda kutoa hiyo elimu ya uraia ila michango yetu itatuwakilisha.
Hatutaingia barabarni ila sanduku la kura litatumika, Mungu ibariki Tanzania ili tume huru ya uchaguzi ipatikane na mabadiliko chanya yaweze kutokea cause tumechoka.
 
Mie hizo zote nazijua , hizo akaunti hazina kitu hv sasa hela yote iliishia igunga mkuu ! waulizeni watu wa benki hizo watawaambia
Tumekubaliana wasio na hoja ya msingi hatuwajibu. Hili swala ni muhimu tuko tayari kuchangia. Mimi niko mbali Karagwe vijijini,ukweli elimu ya uraia ni muhimu sana. Fanyafanya tuchangie. Anzisha na tawi hapa JF. Asante nawasilisha.
 

asante nimetuma sms kwenye namba hiyo kupitia voda je ni mitandao yote naweza tumia? nisije ingia choo cha kiume maana nataka nitume sms nyingi kadri ya uwezo wangu nataka kuongea kwa vitendo sasa
 
Chadema wote ni mashoga2 mume wenu ccm.hamna lolote nyie na jf yenu
 
chadema wote ni mashoga2 mume wenu ccm.hamna lolote nyie na jf yenu
 
Kumbe ukitulia una mawazo mazuri hivi?
Pamoja daima

 
Chadema punguzeni maneno, jazba, na upotoshaji!
Jitahidini kukijenga chama kwa mambo mazuri, doctor Slaa alikubalika kutokana na mchango wake, sasa kuna wa2 mnataka kukuharibu chama
 
vijijini kuna kazi kubwa ya kufanya'kuwaelimisha sio jambo la mchezo'tujitolee kwa hali na mali
 
Naunga mkono hoja, umesahau kitu kimoja. Kususa kama kawa, mpaka kieleweke!
mtoa uzi kaandika wanacdm tu,kumbe nawewe ni mwanachadema au kama kawaida yako kuchafua hali ya hewa.nipenda hapo kwenye red.
 
Kweli kabisa, nimeumia sana magamba kuchukua jimbo. Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…