mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,417
- 8,401
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. Barikiwa kwa mawazo yako mazuri.
ndugu zangu wana cdm( nasisitiza ni chadema tu) matokeo ya igunga yamenifanya nije na wazo.Huu si wakati wa sie kutulia na kuacha hili jambo linapita bila kulifanyia kazi.Kifupi ushauri wangu harakati za chama ziendelee chini ya viongozi hapo wilayani kwa kuimarish chama kama walivyoshauri watu wengi mikutano mijini na vijijini watu wapewe elimu ya uraia .kukubalika kwa cdm kumenistua sana na hili jambo lisiachwe hivi hivi.mwalimu aendelee na mikutano ya kushukuru wananchi na kuendelea kuwapa taarifa wale 22000 na zaidi ambao hawaitaki ccm.wana cdm tuwe tayari kusapport juhudi kama hizi. Maeneo mengine wameweza kwa kutumia michango toka kwa wanachama na changizo mbalimbali. Hili linawezekana wana cdm tujitoe hata kwa mali ili ukombozi upatikane naomba kuwasilisha
ni kweli nimesoma habari moja ya kustua kwamba gari moja la matangazo la ccm lilikuwa likipita kwenye baadhi ya vijiji siku ya uchaguzi wakitangaza kwamba mgombea wa cdm amejitoa laiti wale wananchi wangekuwa na elimu ya uraia leo tugekuwa tunasema haya na ushahidi kamili.sijajua mstakabali wa mwalimu kuhusu ajira yake hivyo wana chadema lazima tufikirie haya sio kutulia kuja kuibukia 2015.Hii imekaa njema sababu nilichokiona pia raia kutokuwa na elimu ya uraia hasa kwa kuzitambua haki zao za msingi.Vijijini elimu bado haijafika kabisa.