Kwa siku 29 jamaa amezunguka kila kona ya Nchi, Mi nimeangalia hadi nusu bado naendelea, lakini imenitia motisha sana, pia mimi nataka kufanya hivi one of these days, Hua napenda sana kutembea kuona maeneo tofauti ya Kenya. Lengo langu kuu hata si mbuga za Wanyama, mi nataka kuona tu maendeleo ya maeneo tofauti ya Kenya.
Kama wewe ni mkenya mpenda nchi yake lazima hii utenge muda(na bundles) uangalie hii video... Ujione kumbe barabara ziko kila mahali tena nzuri nzuri,