hii ni kwa wadada wote

bora ww umeulizwa elimu, mwenzako niliulizwa nina kiasi gani benki?? Wakati me naunga unga pesa zenyewe kwene M-pesa
mie nlikataliwa kwa lugha kali sana baada ya kuenekana mvaa misuli / kanzu na makubazi, kitambo chake baada ya kuonekana nasukuma ndinga sa ivi napigiwa simu sio mie tena kuhangaika..wanawake wa kibongo wako vere stratejiki!
ujanja ni kuwasapraizi na kuwatumilia tu..
 
Wanachekesha kweli! Yaani ye hapo keshamsarandia wee mpaka kajiridhisha, ila hataki mdada nae ajiaminishe kwa kile aonacho chamfaa!

Yani ndio maana tunaona ni heri tubakie kwa wazazi wetu mpaka tutakapompata yule aliye na msimamo thabiti.
 
mie nlikataliwa kwa lugha kali sana baada ya kuenekana mvaa misuli / kanzu na makubazi, kitambo chake baada ya kuonekana nasukuma ndinga sa ivi napigiwa simu sio mie tena kuhangaika..wanawake wa kibongo wako vere stratejiki!
ujanja ni kuwasapraizi na kuwatumilia tu..

Kwa hyo sasa hvi unahangaika na wenye ngozi nyeupe?
 
Unajua nyie wakaka baadhi yenu huwa mnashangaza sana! Mkiwa mnatafuta nyie mwaweka vigezo kibao, wengine utawasikia ooh mara awe na hips.....mara awe na elimu at least kuanzia level flani. Ila nyie mkiulizwa mnaona kama mmedharauliwa? Khaa!!!
umeamkaje dada Kipipi? mbona hutaki kunitafutia wifi? upweke unanitesa.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 396531_490044867686743_731524528_n.jpg
    396531_490044867686743_731524528_n.jpg
    26.5 KB · Views: 34
Ebu nioneshe uzee wako dhidi yangu ni upi? Btw, uguza pole!

Nilikuwepo Aman Stadium Zanzibar siku ASP na TANU zinavunjika na CCM inatake over i was 8th !
Wewe ulikuwepo ? Mayb hata wedding ya Maa ilikua bado!
 
sa ivi policy yangu ni kukamua chochote kinachovaa sketi/gauni provided kinalipa, lakini kwa staili kuegesha zaidi..haibiwi mtu.

Nyie ndo basi kabisa hata hamjielewi kwanini mnaishi! Kama vipi uwe unaweka na bill ya mwezi mzima kabisa pale Ohio ili usiwe unasumbuka!
 
Nilikuwepo Aman Stadium Zanzibar siku ASP na TANU zinavunjika na CCM inatake over i was 8th !
Wewe ulikuwepo ? Mayb hata wedding ya Maa ilikua bado!

Na mi ndo nilikuwa binti ntilie enzi hizo kule kijijini kwetu Ipondamafulela, kabla sijawa mnenguaji kwenye ngoma za asili!
 
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi

Uuuuwii mi mgonjwa sitaki kucheka naumia etiii duuh ila ndo ivo hata kama mpiga debe ukubaliwe tuu acha baana izo mambo hakunaga now days huna elimu yakueleweka huna mbele wala nyuma hutakiwi ng'oo hata mim ngekutosa kama hujui kusoma nakuandika afu sio mpiganaji.
 
Back
Top Bottom