Hii ni kwa vile vyuo vilivyojikita kwenye fani fulani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kwa vile vyuo vilivyojikita kwenye fani fulani.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HAMY-D, Oct 29, 2011.

 1. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Wanajukwaa hili la elimu awali ya yote napenda kuwajulia hali na naamini wote wazima wa afya na ongereni katika harakati za ujenzi wa taifa.

  Lengo la huu uzi ni kutaka kujua sababu gani zimefanya vyuo vishiriki kama muhimbili na ardhi kujitenga na kuwa vyuo vikuu vinavyojitegemea kutokea chuo kikuu cha dsm,Na kutokana na hili vyuo hivyo vimekuwa vikianzisha baadhi ya taaluma ambazo hazifanani na hata majina ya hivyo vyuo,Kwa mfano chuo kikuu ardhi kimeanza kutoa BA in economics na sitashtuka kusikia muhimbili inatoa BSC in civil enginieering.Pia SUA(main campus) nao wamezidisha course nyingi ambazo haziendani na chuo tuwe wawazi kwenye hili maana kama ni mambo ya biashara MUCCOBS inatosha kusimamia hizo taaluma.Nawasilisha na hoja yako ndio inahitajika.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Hyo muccobs unayoitolea mfano haiko hata kwenye raman ya vyuo vya biashara hapa nchin..btr ungesema waipanue Ifm au Iaa ndo atleast vko juu ktk hayo mambo.ovr
   
 3. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  senetor acha mambo ya kukosoa chuo wakati hujawai hata fika moshi kama sikosei na hii itasababisha watu waache kuchangia point za msingi kuhusu swali la hii uzi na waanze ku-deal na wewe.
   
 4. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Mind you Brother!! "Quality is no longer a deal" The issue here is money or something that pay's to the maxmum.
   
 5. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Lengo la kujitenga ni kurahisisha usimamizi, napia kuanzisha izo kozi ni kuongeza nafasi kwa wahitaji(wanafunzi)
   
 6. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  swala la kurahisisha usimamizi ni nadhalia tu,ila kimantiki hakuna kilichofanyika na zaidi ya yote hali ndio imekua mbaya zaidi ukiongelea muhimbili na ardhi,maana hata kama vyuo vyote TZ vinatoa elimu ya kawaida au ya chini basi mambo kama accomodation vyuo vijitahidi basi,inasikitisha kuona university inampiga chini undergraduate wa 1st year hostel? Mtu katoka mbali na mkoa anatarajia atayakuta makazi kama ilivyokuwa advance level lakini chuo ndio crap zaidi.Matatizo haya yamevikumba vyuo hivi ardhi na muhimbili kwa kiwango kikubwa.
   
 7. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  no your mistaken brother,quality really matter because this is globalized world and never in your life think you will always compete with Tanzanian graduates only,now things have changed and you should be aware with that.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  bora hata muhimbili wana hostels,ardhi ndio balaa,wanaish maisha tyt sana wale jamaa.
   
 9. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  tatizo lipo kwenye udahili,maana miundombinu ni ileile lakini idadi ya wanafunzi imekua ikiongezeka kila mwaka,huko muhimbili mwaka huu vijana wengi wanaishi off-campus.
   
Loading...