Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 592
- 2,142
Spitting facts nigga.
Upo sahihiTunapaswa kuwa na Kias kwenye eneo hili,mapenz yanataka muda na fedha
Umemalza kila kitu hapa!!!MAKUNDI YA KIJINGA
Unakuta mwana katika circle yako wamejaa mabishoo wasio na michongo, walamba lips waomba hela za madem, wavivu, wapiga mizinga, mariooz, nk. Unadhani utakua na mentality za kujilipua machaka kusaka mabunda
?![]()
Kwa mama ntilie nauziwa chakula 2000. Naomba mchanganuo wa kujipikia kwa sh 2000. Yaan hyo elfu 2 itoshe kununua gas, unga, mboga, mafta, chumvi, maji, viungo+muda naotumia kupika+kuosha vyombo.usisahau kujipikia unachotaka kwasababu kupika huokoa sana bajeti (mkibisha naweka mchanganuo hapa).
Una fikra za kidini za kimaskini.MAPAMBANO BILA KUMUOMBA YESU NI SAWA NA KUJILISHA UPEPO
🤣🤣🤣Hapa unakwepa kuosha vyombo km mimi tuKwa mama ntilie nauziwa chakula 2000. Naomba mchanganuo wa kujipikia kwa sh 2000. Yaan hyo elfu 2 itoshe kununua gas, unga, mboga, mafta, chumvi, maji, viungo+muda naotumia kupika+kuosha vyombo.
Usizimie chuma kwenye gia mzee,hapa namaanisha usiache ghafla,anza taratibu. Unaweza kuwa unamkataa siku moja moja,mara kwa week mara moja,kwa mwez mara mbili,nenda na mtiririko huo mpaka ifikie hatua uone hiyo mbege si kitu cha muhimu hata ukikikosa kwa mwezi mzima.Umemalza kila kitu hapa!!!
Ujumbe murua sana kibabe sana umeandika kama rastafarian...sema kwenye kunywa sijui naachaje haya mambege Kuna mama akipitisha ofisini najikuta nshachukua
Uko sahihi Hustler,akiba ni muhimu sana,wana wasijisahau sana pindi wanapopata mkwanja.umeeleweka sana hasla mkuu, unaingiza 50K unaiponda yote alafu baada ya siku mbili ukipata shida ukawalilia marafiki wakisema hawana unawaona masnichi. Akiba ni muhimu sana na malengo yawe ni kukua sio kusavaivu.
Mwanangu Duga Mawe komaa na harakati yoyote unayoipiga,ipende sana yani,iwekee mazingira mazuri ya kuifurahia hiyo kazi yako na mabunda [emoji385][emoji384] yatakuja tu. Usikate tamaa,saka kila kona,kila chaka bila kuchoka.UMETEMA PUNCH SIO POAH SEMA MADUSKO KAMA YANATUKWEPA HIVI
kuna mwanangu ni mpambanaji sana ila misingi ya wapambanaji hafuati, akipata 20K halali kwake anarudi asubuhi na hang over za pombe hana hata mia. Yeye ni pombe na pisi akiwa hana hela utamuonea huruma anakula viapo vyote kuwa hatorudia ila akipata hela kidogo mambo ni yale yale.Uko sahihi Hustler,akiba ni muhimu sana,wana wasijisahau sana pindi wanapopata mkwanja.
DUA KAKAMwanangu Duga Mawe komaa na harakati yoyote unayoipiga,ipende sana yani,iwekee mazingira mazuri ya kuifurahia hiyo kazi yako na mabunda [emoji385][emoji384] yatakuja tu. Usikate tamaa,saka kila kona,kila chaka bila kuchoka.
"Irudi pesa au irudi maiti"[emoji109]