Hii ni kuwajali wateja....?

Hii ni kuwajali wateja....?

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
Wadau, hivyi karibuni kumekuwa na shindano la soda fulani na "slogan" ya patapata ambapo ni kawaida ya makampuni kurudisha faida waliyopata kwa wateja wao kwa kuwazawadia pesa taslim au soda za bure. Cha ajabu safari hii PATAPATA ndy imekuwa zawadi coz hata soda za bure kupata ni shughuli.

Je! huko ndy kurudisha faida kwa wananchi au kujiongezea zaidi faida? maana watu wengi wanajaribu kunywa soda ila kila kukicha........ jiii!
 
Back
Top Bottom