Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,146
- 2,549
- Thread starter
- #21
hatapata zawadi kutoka kwangu tenaaaaaaaaaaaaaa
eboooooooooo
Rafiki yangu mmoja namfurahia sana, ana mke na watoto 2 akiwatoa out, anawaambia waagize wanachotaka wakisha agiza na akajua walichoagiza kitawashinda yeye anaagiza kidogo, wakibakisha anakula chote cha mkewe na cha watoto pia.