Hiyo inaudhi sana niliwaikumpeleka dada mmoja hotelini(jina ninalo)aliagiza mambo kama hayo kisha akaonja na kuacha gharama ilikuwa 8500/tsh ndio si kubwa lakini iliuma sana

Na ni ustaarabu sana kula chote ulichoagiza.... Hii inaonyesha unajifahamu kuanzia njaa yako na ulaji wako. kuna mijitu kuacha msosi ndo inadhani ni usasa, kumbe ujinga mtupu....Tatizo siyo gharama, ni vyema ukaagiza chakula utakacho kimaliza, hata kama utaagiza chakula cha 25,000 ukakila chote kwangu siyo tatizo.
Hiyo inaudhi sana niliwaikumpeleka dada mmoja hotelini(jina ninalo)aliagiza mambo kama hayo kisha akaonja na kuacha gharama ilikuwa 8500/tsh ndio si kubwa lakini iliuma sana
Tatizo siyo gharama, ni vyema ukaagiza chakula utakacho kimaliza, hata kama utaagiza chakula cha 25,000 ukakila chote kwangu siyo tatizo.
majuzi nilifunga chips kuku zaidi ya nusu sahani iliyomshinda mtu!!!!japo yeye alionesha kunishangaa,ila niliondoka nayo!ni kweli inakeraaa!!!
Fikiria umempeleka mtu hotelini/mgahawa, ukamwambia aagize anachokitaka, akaagiza sahani ya chips, kuku nusu na soda, alafu katika vyote hivyo kila kimoja anatumia nusu nusu anaacha.
Hii tabia huwa inanikera sana, sijui wewe unasemaje kuhusu tabia hii.
Sure. Bora mtu ale amalize, kuliko kula robo ilhali yeye ndo kaomba outing ili akale! Pole bro. Mwingine kaja juzi na thread kama hii, ila ya mavazi. Kajipinda na kumnunulia wake wa ubani nguo nzuri za gharama kutoka Uchina, kaambiwa na binti kuwa hizo hazitakiwi, anataka designer clothing za Italy na France tu. Asssume ndo ww umejipinda na kinusu mshahara chako, utajisikiaje?Tatizo siyo gharama, ni vyema ukaagiza chakula utakacho kimaliza, hata kama utaagiza chakula cha 25,000 ukakila chote kwangu siyo tatizo.
Sure. Bora mtu ale amalize, kuliko kula robo ilhali yeye ndo kaomba outing ili akale! Pole bro. Mwingine kaja juzi na thread kama hii, ila ya mavazi. Kajipinda na kumnunulia wake wa ubani nguo nzuri za gharama kutoka Uchina, kaambiwa na binti kuwa hizo hazitakiwi, anataka designer clothing za Italy na France tu. Asssume ndo ww umejipinda na kinusu mshahara chako, utajisikiaje?
Hiyo inaudhi sana niliwaikumpeleka dada mmoja hotelini(jina ninalo)aliagiza mambo kama hayo kisha akaonja na kuacha gharama ilikuwa 8500/tsh ndio si kubwa lakini iliuma sana
Sure. Bora mtu ale amalize, kuliko kula robo ilhali yeye ndo kaomba outing ili akale! Pole bro. Mwingine kaja juzi na thread kama hii, ila ya mavazi. Kajipinda na kumnunulia wake wa ubani nguo nzuri za gharama kutoka Uchina, kaambiwa na binti kuwa hizo hazitakiwi, anataka designer clothing za Italy na France tu. Asssume ndo ww umejipinda na kinusu mshahara chako, utajisikiaje?
Sana tu, ila mengine tunajitakia!Wanaume tunakubana na mengi, katika hili suala la mapenzi.