[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]joverest samahani sana
Kwa mtazamo wangu wewe ndio unasahau watu. Watu wanaokusalimia na kukukumbatia wanakufahamu vizuri, ila wewe inaonekana hujishughulishi kufahamu watu au una maringo. Sometimes watu wanapotezea wanapoona umewakaushia. BadilikaWasalaam wakuu,
Kuna hali hua nakutana nayo ya kufananishwa na watu mpaka mda mwingne hua nahis ipo siku inaweza kuniletea madhara,maana unakutana na mtu anakusalimia kama anakujua vile nikimwambia mm sio amdhaniaye bas hua anashangaa na kubaki kucheka,mwingne anakuja kabisa anakukumbatia nabaki namshangaa.sio mara moja,mbili,tatu au nne inatokea sana kwangu.
Sasa najiuliza hii ni kawaida au ni vipi.
Naomba wajuzi wa hii kitu wanijuze.
Shukrani
Mkuu sio kwel,kumbukumbu zangu zipo vizuri na pia habar za maringo sina kabisaKwa mtazamo wangu wewe ndio unasahau watu. Watu wanaokusalimia na kukukumbatia wanakufahamu vizuri, ila wewe inaonekana hujishughulishi kufahamu watu au una maringo. Sometimes watu wanapotezea wanapoona umewakaushia. Badilika
Ni lazima utakuwa na kitu flani cha kipekee, mfano fundi maarufu, mwanamziki/msanii, mfanyakazi wa ofisi flan maarufu, dereva wa vyombo vya usafiri wa umma, mwanamichezo, kiongozi wa kisiasa au kidini.. nk. na ndio sababu watu wengi wanakufahamuMkuu sio kwel,kumbukumbu zangu zipo vizuri na pia habar za maringo sina kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]joverest samahani sana
Dah mkuu,ng'ombeUnafananishwa hadi na ng'ombe
yeah mkuuHahah ha,hiyo noma