Hii ni kali toka kwa Magufuli!

Hii ni kali toka kwa Magufuli!

huyu fiuzi 1 kichwani inashoti sibure.

dah, yaani umenichekesha, nimecheka hadi machozi. umenikumbusha kwenye lile tangazo lake anaposema 'tanzania ya magufuli (anapata kigugumizi alafu anamalizia) itakuwa ya viwandaaa' yaani inaonesha hilo neno viwanda hakujiandaa kabisa, kama kalishtukiza tuu.
 
Makofi kwa Magufuli tafadhali! Kwi kwi kwi! Huyo ndio mzee wa Data, acha kabisa. Anataka Waha wajengewe kiwanda cha nyama ya mbwa? Mzee kachanganyikiwa au betri imeisha chaji?

Nina mashaka huyu jamaa anazimua kutafta stimu kuondoa uoga. ndo mana hata ajui rais aliyepinduliwa Iraq ni nani.
 
Back
Top Bottom