HAHAHA nomaa sanaa
Duh idadi ya samaki na mayai yake hakutaja?
Kumbe ndo maana tuliitwa wapumbavu na malofa!
Kweli maccm yamechanganyikiwa-ahadi zinaonekana ni wizi tu-kiwanda cha nyama unajenga kigoma au arusha kwenye wafugaji
Mmeanza ubinafsi kabla hata ya ushndı.Ng'ombe wengi Arusha???Ngombe wengi wapo Shinyanga,Simiyu,Katavi n.k.Sema kiwanda kiwa Shnyanga au Mwanza.