- Thread starter
- #21
Hv nyie mnataka nini?Mnadai uchumi umedorola lakn mkiambıwa namna ya kuufufua mnakosa imani.
Kwa kujenga viwanda vya nyama ya mbwa?
Hv nyie mnataka nini?Mnadai uchumi umedorola lakn mkiambıwa namna ya kuufufua mnakosa imani.
Yani mbwa million 6!???... Kiwanda cha nyama ya mbwa? Aisee acha nisikilize wengine wanasemaje
Kweli maccm yamechanganyikiwa-ahadi zinaonekana ni wizi tu-kiwanda cha nyama unajenga kigoma au arusha kwenye wafugaji
Sawa nayule aliyesema ataanzisha kilimo cha kisasa cha mibuyu
tatizo kiwanda cha mifugo kujengwa kigoma ,kule labda kiwanda cha migebukanamawese sio mbuzi wala mbwaHv nyie mnataka nini?Mnadai uchumi umedorola lakn mkiambıwa namna ya kuufufua mnakosa imani.
Mbwa wengi wanapatikana wapi?
Duh idadi ya samaki na mayai yake hakutaja?
ha!!!!mpaka kiwanda cha nyama ya mbwa au sikusoma vizuri