Hii ni kali toka kwa Magufuli!

Hii ni kali toka kwa Magufuli!

Hawa wagombea wa ccm hasa wanatuchukuliaje wananchi? Ni kwanini wanaropokaropoka hovyo hivi? Ifike mahali kuwepo na sheria ya kuwashtaki endapo hawatatimiza ahadi zao kwani kututia matumaini ni zaidi ya kutupandisha hasira na kutupoteza kwenye malengo ya kusaka mlo wa siku.
Hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi kuahidi yasiyowezekana kwa miaka mingine 100. Tuwanyime kura kuwaonyesha kuwa sisi siyo watoto wa kudanganyishiwa pipi.

Usisahau anavyotuchukulia mkapa
 
Akiwa Kigoma kwenye mkutano wa hadhara amesema Tanzania ina ng'ombe milioni 22, mbuzi milioni 16 na MBWA MILIONI 6. Hivyo kuna umuhimu wa kujenga kiwanda cha nyama Kigoma!

Huyu ndio maana wakubwa wake wanasema amezidi kupayuka payuka...kiwanda cha mbwa kigoma bora angesema dagaa ama mawese! Na wanaCCM wakashangilia...
 
Katika kuonyesha ana takwimu mwisho katoa kituko cha mwaka
kuna kichwa maji mwingine anajiita dr wiki iliyopita kwenye kipima joto alisema watajenga reli kwa kiwango cha rami nchi nzima
 
kuna kichwa maji mwingine anajiita dr wiki iliyopita kwenye kipima joto alisema watajenga reli kwa kiwango cha rami nchi nzima

Teh teh teh.. Na cheka sana, sina hata shida ya kuangalia muvi za komedi... Makufuli ni komedi tosha mara ooh Sadam hussein alikuwa rais wa Kuwait ohh Libya walifanya mabadiliko ya haraka wakamwaga damu duh.. Lowassa rais
 
Anazingua tu kwani hao wanyama hawazaliani tu tokea alivyokua waziri wa mifugo au aliwatahiri wote
 
Mmeanza ubinafsi kabla hata ya ushndı.Ng'ombe wengi Arusha???Ngombe wengi wapo Shinyanga,Simiyu,Katavi n.k.Sema kiwanda kiwa Shnyanga au Mwanza.

We waache tu uka na uka ndo umewajaa wa binafsi ka nini, yani mwaka huu watashangaa sana wanategemea kwenda ikulu mijizi mikubwa
 
Akiwa Kigoma kwenye mkutano wa hadhara amesema Tanzania ina ng'ombe milioni 22, mbuzi milioni 16 na MBWA MILIONI 6. Hivyo kuna umuhimu wa kujenga kiwanda cha nyama Kigoma!

Makofi kwa Magufuli tafadhali! Kwi kwi kwi! Huyo ndio mzee wa Data, acha kabisa. Anataka Waha wajengewe kiwanda cha nyama ya mbwa? Mzee kachanganyikiwa au betri imeisha chaji?
 
Akiwa Kigoma kwenye mkutano wa hadhara amesema Tanzania ina ng'ombe milioni 22, mbuzi milioni 16 na MBWA MILIONI 6. Hivyo kuna umuhimu wa kujenga kiwanda cha nyama Kigoma!
Inamaana kigoma UBWA ni mboga?
 
Teh teh teh.. Na cheka sana, sina hata shida ya kuangalia muvi za komedi... Makufuli ni komedi tosha mara ooh Sadam hussein alikuwa rais wa Kuwait ohh Libya walifanya mabadiliko ya haraka wakamwaga damu duh.. Lowassa rais
lowasa 2015. kuna mawasiliano yaliwekwa juzi juzi hapa watu wanaosadikiwa kuwa ni nchemba,j.makamba,lusinde,kairuki wakisema wanatakiwa ku influence utafiti kutoka positive thinkers au redet,au ccm wenyewe. na hili limethihirika leo j,makamba aliposema eti wamejifanyia utafiti wenyewe na kuonyesha watashinda kwa 69 %. wizi mtupu mcc wamechoka
 
Hv nyie mnataka nini?Mnadai uchumi umedorola lakn mkiambıwa namna ya kuufufua mnakosa imani.

Ndio tujengewe kiwanda cha Mbwa kisa uchumi umedorola! Vipi hilo soko litapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom