Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 237
Mnaonaje watumishi wote ambao hawakupita JKT nao waende huko walau mwezi mmoja tu.
Mbona hii picha ililetwa zamani sana hapa jukwaani!!!! Ni kawaida kabisa kwa watu waliopitia jeshini.
Mmmh kuumizana tu, ndo maana kuna kazi za wanajeshi na kazi za Ofisini sio kulazimishana kiasi hivi. Mimi sikupita huko na wala sitaki.
Wakisema ambao hawajapita JKT watafukuzwa kazi upo tayari?