Hii ni JamiiForums au mixx by Yas app?

Hii ni JamiiForums au mixx by Yas app?

Jamani mbona tunaleta mambo ya kizamani yani tunatumia bure bado tuwapangie hata mambo ambayo ni msaada kwa taasisi ya jamii forums, wakileta mfumo wa kulipia tutapoteana humu ndani mambo mengine tupotezeage tu.
 
Mama yangu abdul akija na kibunda chake anaitaji username na detail hatuko salama
 
Mixed by Nyash inalipa pesa nyingi. Sisi tunasoma hapa JF bure
 
Back
Top Bottom