Papaah JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,937 Reaction score 4,335 Jul 24, 2025 #21 App yenyew hamlipii afu mnaleta masharti mnataka mwenzenu akale wapi?
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,240 Reaction score 80,241 Jul 24, 2025 #22 Anzia ulipo, ulishe TAIFA😁
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,362 Reaction score 83,363 Jul 24, 2025 #23 Tangazo lipo vizuri
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,875 Reaction score 47,555 Jul 24, 2025 #24 Gharama ya kutangaza hapo juu nami nitupie Scania G 460 hapo...
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,977 Reaction score 67,599 Jul 24, 2025 #25 Ngoja na mimi niongee na melo aweke tangazo langu
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Jul 24, 2025 #26 Max na Mix pacha acha yaendelee
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,035 Reaction score 38,511 Jul 24, 2025 #27 Kuwe na matangazo mchanganyiko basi, inaleta mvuto kidogo, kuliko tangazo mojo tokea asubuhi hadi asubuhi.
Kuwe na matangazo mchanganyiko basi, inaleta mvuto kidogo, kuliko tangazo mojo tokea asubuhi hadi asubuhi.
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,668 Reaction score 9,485 Jul 24, 2025 #28 Wabongo wanaongoza kwa nongwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,722 Reaction score 196,449 Nov 12, 2025 #29 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw