Hii ni hatari sana mungu atuepushe jamani inshallah..............

Hii ni hatari sana mungu atuepushe jamani inshallah..............

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,946
1377401_605244142847233_267719896_n.jpg
 
inamaana wamechimba kaburi ili kuzika mtu wanakuta nyoka wamechachamaa,hapo lazima wamtafute prof maji marefu au manyaunyau ndipo wazike
 
sielewi hilo kaburi ama?
kama ni nyoka hao kwetu kitoweo
Ha ha ha inahusika na dini zaidi nadhani..
Dini ya kiislam inasema kama ulikuwa husali ikifika wakati wa sala kuna joka litakuwa linakungata kama adhabu yako ya kutokusali ukiwa kaburini..Jahanamu hio!!! MziziMkavu anaweza kufafanua zaidi
 
inamaana wamechimba kaburi ili kuzika mtu wanakuta nyoka wamechachamaa,hapo lazima wamtafute prof maji marefu au manyaunyau ndipo wazike

...angalau wenzako wametaja Mungu,we umeleta orodha ya wachawi ndo tumaini lako..? Loh kazi kweli...
 
akuna kitu cha namna hiyo...bible inasema ukifika mwili utengana na roho pia roho umrudia aliyeitoa na mwili uyarudia mavumbia na hicho kinakuwa ni kifo au usingizi wakutokuamka milele na uwezi jua chochote mpaka mpaka pale Yesu atakaporudi kwa sababu maandiko yanasema kila jicho litamuona inamaana hata waliokufa watafufuka kujionea kuwa Yesu sasa amerudi na hapo kitakacho fanyika ni wake wote waliomuasi watakufa baada ya kushuhudia anarudi kwa sababu awataweza kustaimili mwanga wake na wale wote waliotenda mema wataungana naye kwenda mbinguni na wataishi mbinguni kwa muda wa miaka 1000 ambapo kwa Mungu miaka elfu moja ni sawa na siku moja na baada ya hyo miaka elfu moja ndipo Yesu atakapokuja toa hukumu kwa wote waliomuasi bwana Yesu.
 
Hito ni adhabu za kaburi kwa watenda maovu...allah tujaalie husunul hatima...na utupe pepo yako jannnat firdaus..
 
Back
Top Bottom