Hii ni hatari ikiendelea hivyo taifa litakuwa la wagonjwa tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni hatari ikiendelea hivyo taifa litakuwa la wagonjwa tu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 4, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 4, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,827
Trophy Points: 280
Uchunguzi unaonyesha idadi ya wanaojiita wanaoumwa vidonda vya tumbo imeongezeka maradufu tangu wiki hii ianze kitu kinachotishia uhai wa tz!

Kila unaekutana nae anakuambia kuwa hajafunga kwakuwa anaumwa vidonda vya tumbo!

2. Preta

Preta JF-Expert Member

#2
Aug 4, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,036
Trophy Points: 280
stress za ufisadi.....

3. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#3
Aug 4, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,057
Likes Received: 3,084
Trophy Points: 280
Acha kabisa usiseme hii k2..mie niko kwenye dozi mkuu,baada ya hapo nenda shuleni na vyuoni,you cnt imagine brother kaka.

4. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#4
Aug 4, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,057
Likes Received: 3,084
Trophy Points: 280
Acha kabisa usiseme hii k2..mie niko kwenye dozi mkuu,baada ya hapo nenda shuleni na vyuoni,you cnt imagine brother kaka.

5. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#5
Aug 4, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,827
Trophy Points: 280

Pole sana ila utapona mfungo ukiisha

6. Njowepo

Njowepo JF-Expert Member

#6
Aug 4, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 9,296
Likes Received: 381
Trophy Points: 180
Jamani kuna dawa ya kienyeji mbona watu wanapona kabsaa
NawaoNea huruma watz maana issue zimEkuwa nyingi epa,kagoda,giza,richmond etc

7. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#7
Aug 4, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,057
Likes Received: 3,084
Trophy Points: 280
Ile dawa ya Fiterawa ya Daktari Rahabu Lubago ni kiboko niko mbioni kupona nendeni buguruni ndugu zangu japo ni gharama kubwa

8. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#8
Aug 5, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,479
Likes Received: 12,758
Trophy Points: 280
Loliondoooo!

9. Mzee Wa Rubisi

Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

#9
Aug 5, 2011
Joined: Nov 6, 2010
Messages: 1,754
Likes Received: 71
Trophy Points: 145
Tatizo siyo kuumwa au dawa ni ukata. Hata kabla ya mfungo watu wamefunga sasa leo ndo kabisa atasema amefunga ikisha anasema analipisha.Hali tete.

10. u

uporoto01 JF-Expert Member

#10
Aug 5, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Jason una agenda gani ? ulianza na kina joti kudhihaki waislamu na sasa eti vidonda vya tumbo vimezidi mwezi wa ramadhani,let it go bro.

11. Gama

Gama JF-Expert Member

#11
Aug 5, 2011
Joined: Jan 9, 2010
Messages: 9,223
Likes Received: 1,412
Trophy Points: 280

Umeona, eeh

Loading...