Hii ni dharau kubwa kwa wazanzibar!

Hii ni dharau kubwa kwa wazanzibar!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,913
Michuano ya urafiki fainali azam-simba kufanyika uwanja wa taifa,huku iliandaliwa zanzibar kisa AMAN uwanja mbovu
 
Wabongo mnapenda kukomalia mambo mepesi mepesi. Kama Simba, Azam, waandaaji na ZFA wote wamekubali kuihamisha mechi, tatizo liko wapi? Kama upo Zanzibar na unaona una hamu na pambano, panda chombo uwahi tiketi Dar. Kama upo Dar na unalalamika kuwa kwa nini umeletewa mechi jijini kwako, basi usiingie uwanjani wala usitune radio au TV itakayorusha mchuano huo. Very simple!
 
Mkuu wamefuata cheji huku Tanganyika, si unakua tena! Kina yakhe kule visiwani dhoofu hali. Kwani uwanja uliharibika wakati wa fainali tu?
 
sio dharau, mambo ya fedha hayo, waliangalia mapato,
 
Back
Top Bottom