Kyela-RC Homera Apiga Marufuku Posho Kwa Watumishi wa Halmashauri ya Kyela.Je hii ni Sawa? Wako Wapi Vyama vya Wafanyakazi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,775
Naona Watumishi wa Umma wanaanza kufanywa kafara ya Wanasiasa.

RC anasitiaha posho Kwa Ajili ya nini hasa? Posho zenyewe za manati harafu unasitisha utaenda wewe kusimamia kazi?

Huu ndio wakati wa Vyama vya Wafanyakazi kusimamia na kukemea. Kama posho ni haramu zifuteni na nyie msilipane posho maana naona hili lilianzia Kigoma Kwa PM eti watu wamelipana mil.14.

Tafuteni Pesa za Miradi msiwasingizie Watumishi wa Umma.

View: https://www.instagram.com/p/Cxh_eMXtFto/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
View: https://www.instagram.com/reel/Cxh8SDItKHE/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Dah!. Ila Watanzania tuna roho mbaya sana. Yaani kiongozi ameamua kubana matumizi ili angalau watoto wetu wajengewe madarasa ila mtu analalamika.

Japo sijajua hizo posho zilizozuiwa ni za namna gani ila watendaji wengi serikalini huwa wanaandaa mazingira ya kujilipa posho hata pale pasipostahili. Mbaya zaidi unaweza kukuta unaidai Halmashauri deni la huduma uliyowapatia ila hawawezi kukulipa deni lako hata kama lina zaidi ya mwaka lakini unakuta wanalipana posho za kubumba.

Ila wafanyakazi wa serikalini na taasisi zake mnadeka sana na mnaiba hatari. Kuna mtu namfahamu anafanya kazi taasisi moja ya serikali iliyopo Dar, yeye huwa anaandika safari ya kutoka nje ya Dar es salaam kufanya kazi za kiofisi but anajifungia nyumbani kwake Mbezi na baada ya siku 30 anarudi kazini akiwa kashaingiza ela aliyolipwa kusafiria. Ukiangalia kazi zenyewe angeweza kufanyia hata hapo hapo kazini ila kwa kuwa watu washazoea kuiba atasema anaenda kutafuta mazingira ya utulivu ili afanye kazi.

Kwa kifupi posho nyingi za serikalini na taasisi zake ni wizi mtupu. Na kiongozi akijaribu kuzibiti ndio anaanza kuundiwa zengwe na fitina.
 
Nimekuwa Internal Auditor wa Halmashauri kama tatu kwa sasa ....hukoo. Ili kuzuia wizi na upumbavu upumbavu wakaguzi wa ndani waratibiwe mkaguzi mkuu wa ndani kuanzia kila kitu. Kitendo cha wakurugenzi na makatibu tawala kuwa na nguvu juu ya internal Auditors hapi hamna ukaguzi.
Kwa mfano: Baada ya kuzuiwa ukwapuaji fulanu hasa Hela za miradi na kazi maalum kinachofuata ni barua ni barua ya uhamisho kwenda eneo baya.
Pili kinachoitwa kamati ya ulinzi na usalama....yaan tulivunja utaratibu kuwalipa Hawa Hela ya posho.

IAMULIWE TU hamna uhusiano wa kipesa, kinidhamu, kupangiwa kituo au uhamisho utakaofanywa na wakurugenzi au katibu tawala uone Hilo Jamba jamba
 
Naona Watumishi wa Umma wanaanza kufanywa kafara ya Wanasiasa.

RC anasitiaha posho Kwa Ajili ya nini hasa? Posho zenyewe za manati harafu unasitisha utaenda wewe kusimamia kazi?

Huu ndio wakati wa Vyama vya Wafanyakazi kusimamia na kukemea. Kama posho ni haramu zifuteni na nyie msilipane posho maana naona hili lilianzia Kigoma Kwa PM eti watu wamelipana mil.14.

Tafuteni Pesa za Miradi msiwasingizie Watumishi wa Umma.

View: https://www.instagram.com/p/Cxh_eMXtFto/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Aachev
Aache ungese Hivyo vijamaa
Vinapenda kiki hatari mifi kumunioo kabisa
 
Back
Top Bottom