Hii ni dawa ya nini?

Ni jamii ya viagra hiyo.jamaa kitombi sana huyo yaelekea
 
uje utoe mrejesho wa mechi ilikuaje
 
Ni jamii ya viagra hiyo.jamaa kitombi sana huyo yaelekea
Mbona haujaongelea kazi nyengine ya hiyo dawa mkuu? Mfano inatumika kutibu tatizo la uume kulegea, pia inatibu matatizo ya tezi dume hasa iliyoongezeka au inayoanza kuongezeka kitaalam wanaita ( benign prostatic hyperplasia (BPH) ) .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…