Huyo mwenzie yeye alikua nyuma huyo wa mbele hatamaniki kunazo picha zinaonesha upande wa mbele wa hiyo subaru ilikuwa nyakanyakaHivi kapona kweli? Maana naona hapo kwenye video bado anapumua
Check [emoji3593]Huyo mwenzie yeye alikua nyuma huyo wa mbele hatamaniki kunazo picha zinaonesha upande wa mbele wa hiyo subaru ilikuwa nyakanyaka
Dah..RIP ....hii ndio ilikuwa spidi yake ya kifoCheck [emoji3593]View attachment 1565074View attachment 1565075
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Habari,
Mada iliondolewa sababu uliweka 'kiambatanisho' ambacho hakifunguki, nadhani ulikipakia vibaya. Pia kulikuwa na upotoshaji kiasi fulani kwa wachangiaji kwamba kijana aliyeonekana kwenye picha na gari kabla ya ajali kuwa ndiye alikuwa dereva jambo ambalo siyo kweli na kupelekea ndugu zake kulalamika.
Indeed...ajali imetokea watu wanaambiana ni ile Subaru ya blue inayo kimbiagaHii ni jana Geita
Nilifika muda mchache baada ya tukio
Kwa kifupi hakuna aliyestuka na hiyo ajali, kwa Geita mjini hakuna asiyemjua huyo jamaa!
Hana speed ya kistaarabu hata kidogo sadly aliyefariki ni mshikaji wake jamaa mwenye rafu yuko majeruhi!
Mkuu mi huamini kuwa Siku ya mtu ufika anapokuwa Mzee.. Ila kwa Kijana kina sababu.RIP DOGO..Mbona huu mwendo wa kawaida kabisaa...!! Hivi zile V8 za mhe zikiwa kwenye msafara si huwa zinaenda hata 150km/hr sema tu dogo siku yake ilifikaaa
Speed ya kawaida.. umauti ulikuwa una mfind na umempata. Pia Nahisi alikuwa anapenda kukimbiza pasipo kuangalia usalama wa gari husika katika namna ya kukabiliana na ajari inapotokea..Dah..RIP ....hii ndio ilikuwa spidi yake ya kifo
View attachment 1565077
Wanajionaga kama Enzo 😀😀😀Waendesha subaru sijui wanajikutaga nani